Je, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana au kufanya mapenzi?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya iwapo utakaa muda mrefu bila ya kujamiiana. Viungo vya uzazi havidhuriki wala sehemu nyingine yoyote katika mwili wako. Mwanamke na mwanaume wakianza kujamiiana baada ya kukaa muda mrefu watapata raha na starehe kama kawaida.
Kuna uvumi potofu kwamba kutofanya mapenzi kunasababisha kuwa na chunusi usoni au sehemu za siri, au hata kuchanganyikiwa kiakili. Siyo kweli kwamba hali hiyo inasababishwa na kutojamiiana bali husababishwa na mambo mengine kabisa.
Elewa kwamba kutojamiiana kabisa hakuna madhara yoyote. Lakini kama tulivyosema awali kujamiiana kunaweza kuleta matatizo mengi kama mimba isiyotarajiwa, magonjwa ya zinaa ikiwa pamoja maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Jambo la muhimu ni kuwasiliana kwa karibu i ili kuelewa mawazo na matatizo ya rafiki yako. Hakiki...
Read More
Hapa Tanzania matumizi, umilikaji, usafirishaji na kuhusika katika dawa za kulevya kama vile bang...
Read More
Kuishi kwa kushindwa kuona sawasawa ni changamoto ya
msingi waliyonayo Albino, inaathiri eli...
Read More
Hapa Tanzania utoaji wa mimba hauruhusiwi kisheria. Hata hivyo watu wengine wanaamua kutoa mimba ...
Read More
Mapenzi ni sehemu muhimu katika maisha ya binadamu na inaweza kuwa njia ya kujifunza, kufurahia, ...
Read More
Ndiyo hatari kuu ya matumizi ya dawa za kulevya ambayo
unayazoea na kufikiri huwezi kufanya ...
Read More
Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjw...
Read More
Je, umewahi kujaribu njia mpya za kufurahisha katika ngono/kufanya mapenzi?
Kama wewe ni m...
Read More
Watu wanaohitaji kupewa uangalizi maalumu wanaweza
kuonekana ni mzigo kwa kuwa wanaweza waka...
Read More
Habari za leo wapenzi wa Kiswahili! Leo tutajadili suala la tofauti za kitamaduni katika mtazamo ...
Read More
Watu ambao wanaonekana tofauti na wengine (ama kwa misingi
ya kabila, rangi, dini, kimo au h...
Read More
Inakuwaje mtoto anakuwa wa kike au wa kiume?
Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!