Umri unaofaa kuoa
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana na kuzaa watoto. Ni vigumu sana kutambua umri sahihi wa mtu kuoa au kuolewa, kwa sababu watu wanatofautiana katika kuamua ni lini yuko tayari kujitegemea na kuwajibika kumtunza mtu mwingine. Wengine wanakuwa tayari katika umri wa miaka 20 na wengine katika umri mkubwa zaidi.
Kwa vile kuoa au kuolewa mara nyingi kunahusishwa na mtu kuwa mzazi, kuna vipengele vya kiafya vinavyofaa kuzingatia. Kwa mfano siyo vema msichana kuzaa kabla hajafikisha umri wa miaka 18, kwa sababu mwili wake hauko tayari kuzaa mtoto. Nyonga i nakuwa bado ni nyembamba, viungo vya uzazi ni vidogo na havijakomaa kiasi ambacho vinaweza kuharibika wakati wa kuzaa mtoto.
Kwa hiyo basi unashauriwa kusubiri i kuoana mpaka hapo utakapokuwa umejenga msingi i mzuri i wa maisha yako. Kabla hujawa tayari kuoa au kuolewa unaweza kuwa na urafiki na yule aliye mtarajiwa wake ili taratibu muweze kuelewana tabia, yale anayoyapenda na asiyoyapenda na kujenga msingi mzuri wa uhusiano.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Njia za Kupata Msichana Mzuri wa Kuwa Naye Maisha Yote
Kila mwanamume anataka kupata msich...
Read More
Hapana, mbu na wadudu wengine hawawezi i kukuambukiza virusi vya UKIMWI kutokana na mfumo wa mii ...
Read More
Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Vidonge vya Kuzuia Mimba π
Karibu...
Read More
Je, Ni Vipi naweza Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Sababu ya Kubembelezwa? π
Karibu vijana wa...
Read More
Jinsi ya Kujikinga na Mimba Kwa Ufanisi π
Karibu vijana wenzangu! Leo, tutajadili njia ...
Read More
Serikali zote na mashirika ya kimataifa wameweka mdhamana
na kukubali kulinda haki za binada...
Read More
Je, kuna tofauti za umri katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna tofauti nyingi sana! Hiyo ndiyo...
Read More
Dalili moja i iliyo wazi zaidi ni kukosa hedhi. Mwanamke akijamii ana na mwanaume bila kutumia kinga...
Read More
Leo, tutajadili njia za kuunda uhusiano mzuri na wa furaha na msichana. Kuwa na uhusiano mzuri na...
Read More
Serikali i i inatambua kukua kwa tatizo la dawa za kulevya nchini, kwani dawa za kulevya nyingi z...
Read More
Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia
mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa w...
Read More
Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maa...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!