Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/personal/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Kisa cha mzaramo na mchaga

Featured Image

MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜

AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

Mariam (Guest) on April 5, 2015

Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! 🀣

Related Posts

Madenge hakosi visa. Soma hii

Madenge hakosi visa. Soma hii

MADENGE
HAKOSI
VISA


baada ya kumaliza form four baba akamwambia achague zaw... Read More

Hawa Machizi wamezidi sasa

Hawa Machizi wamezidi sasa

Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. M... Read More

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unak... Read More

Wavuta bangi wa Colombia watoa mpya

Wavuta bangi wa Colombia watoa mpya

Asubuhi ya leo huko nchini Colombia baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bangi kuwa halali ... Read More

Mimi ndio nimeelewa hivi!

Mimi ndio nimeelewa hivi!

Leo nimepishana na Vitz imeandikwa, "Never trust women"

Nikajua huyu mtu lazima alikuaga... Read More

Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake

Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake

1. Ticha:"Punda ni mnyama anaefugwa nyumbani,lakini akiwa mwituni anaitwa pundamilia….Je sungur... Read More

Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!

Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!

Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kich... Read More

Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni?

Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni?

1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira
2.Dogo mnene Lazima aw... Read More

Raha ya kuoa kijijini

Raha ya kuoa kijijini

Kuoa vijijini raha sana Hata ukiulizwa unafanya kazi gani ukiwaambia mimi ni admin basi ... Read More

Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo

Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo

01.πŸ‘‰ Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical sc... Read More

Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata

Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata

Angalia kilichotokea Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "... Read More
Angalia haya mazungumzo ya msichana na mvulana, mapenzi ya ajabu haya

Angalia haya mazungumzo ya msichana na mvulana, mapenzi ya ajabu haya

Demu: Hny mambo jamani! Man: Safi nipe habari wangu wa moyo Demu:Wafanya kazi gani vile wangu? Man: ... Read More
πŸ“– Explore More Articles