Kujamiiana au kufanya mapenzi salama
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni pamoja na kumaliza hamu bila ya kujamiiana au kuchukua tahadhari kwa maana ya kutumia kondomu wakati wa kujamiiana.
Kumaliza hamu bila ya kujamiiana ni pamoja na kupiga busu, kukumbatiana, na kupiga punyeto. Vyote hivyo ni vitendo salama kabisa. Kama utajamiiana (kwa maana uume unaingizwa ukeni), ni lazima uhakikishe kuchukua tahadhari muhimu za kinga. Moja ya tahadhari inaweza kuwa wote ni waaminifu kabisa, lakini jambo hili linahitaji nyie wote wawili kuwa waaminifu na kuwa wote muwe mmepima virusi vya UKIMWI na pia msiwe mmefanya ngono hapo kabla (hamkuwa na uhusiano wa kimwili na mtu yeyote kabla. Tahadhari nyingine ni kutumia kondomu. Kondomu inazuia mimba pamoja na magonjwa ya zinaa na uambukizi wa Virusi vya UKIMWI.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Swali hili linaonyesha mambo mawili ambayo ni mabaya. Jambo
la kwanza ni ukeketaji ambao ni ...
Read More
Kujamiiana ni uamuzi wa mtu binafsi. Ni uamuzi wako na hakuna
mtu yeyote mwenye haki ya kuku...
Read More
Habari za asubuhi wapendwa! Leo, tutajadili vidokezo muhimu ambavyo vitamsaidia msichana ahisi an...
Read More
Neno โbikiraโ ni mtu yeyote ambaye hajawahi kujamii ana maishani mwake, awe mwanamke au mwana...
Read More
Upasuaji unafanyika kwa wanawake wote ambao wamegundulika
kuwa na tatizo la kujifungua kwa n...
Read More
Vidonge na sindano zinazuia mimba kwa kuzuia yai lisipevuke. Akitumia njia hizi za kuzuia mimba, ...
Read More
Ndiyo! Dawa yoyote i itakayotumiwa pasipo mahitaji sahihi au kwa kipimo zaidi ya kinachopendekezw...
Read More
Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Kujikinga na Mimba
Karibu sana marafiki zangu! L...
Read More
Watu wanaohitaji kupewa uangalizi maalumu wanaweza
kuonekana ni mzigo kwa kuwa wanaweza waka...
Read More
Ugumba wa mwanamke ni hali ya mwanamke kushindwa kupata mimba. Kama kwa wanaume kuna mambo mengi ...
Read More
Ingawaje, akili zao hazina hitilafu watoto Albino mara nyingi
hawafanyi vizuri shuleni, na h...
Read More
Katika suala hili la UKIMWI hakuna tofauti yoyote kati ya
Albino na watu wengine katika jami...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!