Kulambana sehemu za siri ni salama kiafya? Je, tendo hili ni la kawaida?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika
na kama wahusika wote wanalipenda ni sawa. Inashauriwa kuosha sehemu za siri kabla ya kufanya hivyo. Kwa kufanya hivyo, yaani kunawa kunafanya tendo hili kufanyika katika hali ya usalama kiafya. KAMA wote mtakuwa wazima bila kuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa hasa kisonono (gono).
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Ukishatambua kwamba una mimba kuna mambo mbalimbali tofauti ya kufanya. Kwanza kabisa mweleze mwe...
Read More
Balehe ni kipindi cha mpito kati ya utoto na utu uzima, ambapo watoto wa ki...
Read More
Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja ...
Read More
Watu wenye ualbino hawana uwezo kabisa au wana uwezo mdogo
wa kuwa na rangi kwenye ngozi zao, nywele...
Read More
Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na k...
Read More
Hakuna uchunguzi wa kisayansi ambao umeonyesha faida
yoyote inayopatikana kwa kuua Albino.Read More
Je, umewahi kujiuliza ni vipi unaweza kupata msaada wa kielimu kuhusu masuala ya ngono? Leo, tuta...
Read More
Ukeketaji au tohara ya wanawake ni hatari sana kwa msichana
anayetahiriwa. Wasichana hufa kutokana n...
Read More
Kutumia manjonjo na manukato wakati wa ngono/kufanya mapenzi ni mada ambayo ina debate kubwa. Wap...
Read More
Leo, tutazungumzia jinsi ya kuanzisha mawasiliano ya kwanza na msichana. Ni muhimu sana kwa kila ...
Read More
Hapana, ukila na mtu mwenyemaambukizi ya Virusi vya UKIMWI huwezi kuambukizwa Virusi vya UKIMWI w...
Read More
Kutoka damu (hedhi) kwa mara ya kwanza kunaitwa kuvunja ungo na hii ni dalili ya mtoto wa kike kuing...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!