Je, mapacha wanapatikanaje?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Zipo aina mbili za mapacha, wale wanaofanana na wale wasiofanana. Karibu robo ya mapacha wote hufanana. Hii ina maana kwamba wametokana na yai moja lililotungwa mimba ambalo hujigawa katika makundi mawili tofauti ya chembechembe, kila mojawapo hubadilika kuwa kiumbe pekee. Hadi sasa, wataalamu hawaelewi vizuri sababu za yai kujigawa. Mapacha wa aina hii , kwa vile wametokana na yai moja, mara zote huwa na jinsia moja na hufanana sana kimaumbile.
Mapacha wasiofanana hutokea wakati wa yai kupevuka, kokwa za mwanamke hutokea zikawa mayai mawili badala ya moja tu. Mayai yote mawili hurutubishwa na hutungishwa mimba kwa mbegu mbili tofauti za mwanaume. Viumbe viwili hukua wakati mmoja katika mfuko wa uzazi. Mbali ya kukua katika mfuko mmoja wa uzazi na kuwa na umri uleule, mapacha hawa ni sawa sawa na watoto wengine wawili wa wazazi haohao. Wanaweza kuwa wa jinsia na maumbile tofauti kabisa.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ...
Read More
Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa ...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kufanya mazoezi ya kuboresha nguvu na stamina wakati wa ngono/kufanya mapenzi...
Read More
Je, nini imani ya watu katika kujaribu njia za kutanua wigo wa hisia wakati wa ngono/kufanya mape...
Read More
Kutoka damu (hedhi) kwa mara ya kwanza kunaitwa kuvunja ungo na hii ni dalili ya mtoto wa kike kuing...
Read More
-
Anza kwa Kujijenga Kimaumbile
Kabla ya kumwomba msichana tarehe ya ushirikiano, ni muhi...
Read More
Sababu mojawapo ni kuwa bangi hulimwa hapa nchini na
hivyo hupatikana kwa urahisi. Bangi huu...
Read More
Ndiyo, unaweza kuambukizwa ukitumia nyembe kali au sindano kwa kuchangia pamoja na mtu mwenye vir...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kujadili matarajio ya ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano? Swali hili ni mo...
Read More
Jinsi ya Kujifunza Kutambua na Kuheshimu Makubaliano ya Kufanya Ngono π
Karibu vijana w...
Read More
Kufuatia vitendo vibaya vya mauaji ya Albino, vilivyozuka
Tanzania tangu mwaka 2007 hadi sas...
Read More
Salamu! Karibu kwenye makala ya leo kuhusu mbinu za kujizuia mimba wakati wa ngono. Ni jambo muhi...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!