Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Jambo la msingi kabisa ni kwamba wote wawili kuwa tayari kwa kujamii ana. Yaani kupendana na kuja...
Read More
Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni...
Read More
Jinsi ya Kupata Msichana wa Kuwa na Uhusiano wa Mbali
Kuwa na uhusiano wa mbali sio rahisi...
Read More
Ndiyo, Kama nikotini, pombe huweza kukufanya mwenye busara
iwapo utakunywa, na ujiwekee kiwa...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Wivu Kuhusu Masuala ya Ngono? π
Karibu kijana! Leo tu...
Read More
Ndiyo msichana anaweza kupata mimba kwa kujamiiana mara
moja tu bila kujali ana rangi gani y...
Read More
Je, unafikiri ni muhimu kuwa na uelewa wa masuala ya afya na usalama katika ngono/kufanya mapenzi...
Read More
Kama una nia ya kuimarisha uhusiano wako na msichana, ni muhimu kuwa na mawasiliano mazuri ya sim...
Read More
Dalili moja i iliyo wazi zaidi ni kukosa hedhi. Mwanamke akijamii ana na mwanaume bila kutumia kinga...
Read More
Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Vidonge vya Kuzuia Mimba π
Karibu...
Read More
Ubakaji kamwe siyo kosa linalomhusu yeye aliyebakwa; ni kosa
linalomuhusu yeye aliyebaka. Un...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Kufadhaika na Utendaji wa Ngono ππ‘οΈ
Karibu kijana...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!