Nini maana ya neno Albino?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Neno Albino linamaanisha
mtu mweupe, linatokana na
neno la lugha ya Kilatini -
albus-linamaanisha โeupeโ.
Kuanzia karne ya 17 neno
Albino limekuwa likitumika
katika kueleza hali ya kundi
la viumbe hai (watu, wanyama
na hata mimea) ambao wana
upungufu au ukosefu wa rangi
katika ngozi, macho na nywele.
Kwa binadamu ni bora kutumia
maneno โWatu wanaoishi na
ualbino
kwani itamaanisha kuwa ni watu kama wengine ila wanaishi na
hali tofauti ya โualbinoโ. Katika kitabu hiki maneno haya mawili
yatatumika.
Lugha inajenga dhana na kuunda hali ya ukweli / uhalisi. Kwa
sababu hiyo ni lazima tuache kutumia maneno kama โzeruzeruโ.
Neno hili linamaanisha sifuri mara mbili au mtu asiye na
thamani. Utumiaji wa neno hili ni dharau ya utu na kulaumu
watu wanaoishi na ualbino kama kosa lao.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Jinsi ya Kuonyesha Utambulisho Wako kwa Msichana
Kuonyesha utambulisho wako kwa msichana n...
Read More
Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjw...
Read More
Madhara ya pombe husababisha watu walioolewa kugombana.
Kutokana na ushawishi wa pombe watu ...
Read More
Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja ...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kuelewa tamaa na mahitaji ya ngono/kufanya mapenzi ya mwenza wako? Ndio! Ni m...
Read More
Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata
mimba. Uwezekano wa kupata mimba ni s...
Read More
Nani na lini unaoa ni maamuzi yako binafsi wewe mwenyewe,
hata kama rafiki na wazazi wanakus...
Read More
Leo, tunazungumzia mbinu za kupata tarehe na wasichana kwa mafanikio. Kila mtu anataka kuwa na mp...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kubaguliwa Kuhusiana na Ngono? ๐
Habari rafiki! Leo t...
Read More
Watu wanaohitaji kupewa uangalizi maalumu wanaweza
kuonekana ni mzigo kwa kuwa wanaweza waka...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kuweka mazingira ya kimapenzi kabla ya kufanya ngono au kufanya mapenzi? Ndio...
Read More
Kuwa na uhusiano mzuri na msichana ni jambo ambalo kila mwanaume anataka. Hata hivyo, wakati mwin...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!