Je, sigara ni sumu kwa binadamu?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ndiyo. Nikotini iliyo kwenye tumbaku ni sumu. Ukiwa na kiwango
kikubwa cha nikotini katika damu utajisikia kichefuchefu,
kutapika, kujaa kwa mate mdomoni, maumivu ya sehemu za
chini ya tumbo, kuharisha, na kujihisi dhaifu. Dalili nyingine
ni kuumwa na kichwa, kizunguzungu, kuongezeka kwa mapigo
ya moyo, kupata shinikizo la damu, kutetemeka na kutokwa na
jasho baridi. Nikotini nyingi inaweza kusababisha ukosefu wa
umakini na pia ukosefu wa usingizi.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni...
Read More
Hapana. Hii si kweli kwa sababu maziwa hayawezi kuondoa
uharibifu uliosababishwa na nikotini...
Read More
Sababu kuu ya ugumba unayoweza kujisababishia ni kupata magonjwa ya zinaa. Unaweza kuepuka kuwa m...
Read More
Je, Ni Lazima Kuwa na Ngono ili Kuwa na Mahusiano ya Karibu? π€
Karibu vijana! Leo tutaz...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kuwa na Hamu ya Kufanya Ngono? ππ
Leo tutajadili j...
Read More
Jinsi ya Kujenga Uaminifu katika Uhusiano wako na Msichana
Katika uhusiano wowote, uaminif...
Read More
Sheria ya msingi ya ndoa nchini Tanzania ni Sheria ya ndoa ya
Bunge, iliyopitishwa mwaka 197...
Read More
Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti ha...
Read More
Ni kweli kuwa daktari anaweza kufanya vipimo vya kugundua
kama mtoto aliye tumboni ni mwenye...
Read More
Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya unaweza kumsaidia kwa kum...
Read More
-
Je, unajiamini wakati wa kufanya ngono/kufanya mapenzi? Swali hili limewahi kuulizwa ma...
Read More
Si kweli.
Pombe haiongezi damu, vitamini wala nguvu. Ukweli ni kwamba unywaji po...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!