Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/personal/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Baadhi ya misemo mikali ya leo

Featured Image

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.

2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.

3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?

4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.

5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.

6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.

7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.

8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.

9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.

10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria.

AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

Andrew Mahiga (Guest) on May 2, 2015

Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜‚πŸ€£

Related Posts

Mpenzi Akikuita Mamito, Mjibu Hivi

```html

Responding to Pet Names: A Guide to Healthy Relationships

Navigating the landsc... Read More

Ingekua wewe ndio baba au mama ungefanjaje?

Ingekua wewe ndio baba au mama ungefanjaje?

Baba na mama baada ya kurudi safari pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema…. "Baba n... Read More

Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara

Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara

MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"
MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."
jamaa ... Read More

Huyu bwana leo kapatikana, Jamani nyodo nyingine mbaya

Huyu bwana leo kapatikana, Jamani nyodo nyingine mbaya

Baada ya kumaliza Degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyu... Read More

Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake

Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake

Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-

Read More
Jee wajua! Maajabu ya whatsapp..

Jee wajua! Maajabu ya whatsapp..

JE WAJUA?

Je wajua kwamba kuku wa kwenye Whatsapp anamzidi tembo ukubwa? πŸ“πŸ‘‰πŸ½πŸ... Read More

Hali za ndoa

Hali za ndoa

Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, aka... Read More
Kilichotokea baada ya kuzamia sherehe

Kilichotokea baada ya kuzamia sherehe

Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha... Read More

Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake

Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake

Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg k... Read More

Kilichowakuta boss, mke wake na mfanyakazi wao

Kilichowakuta boss, mke wake na mfanyakazi wao

Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili b... Read More

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

Tofauti ya mke na mchepuko!!!

Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na si... Read More

Angalia nilichomfanyia huyu mwizi

Angalia nilichomfanyia huyu mwizi

Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu
akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid
na mie ... Read More

πŸ“– Explore More Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About