Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 17:09:11 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Wasichana wafupi wananifurahisha sanaโฆ. Yaan siku ya Valentine, wakivaa magauni mekundu huwa wanakuwa kama Fire extinguishers au mitungi ya Oryx ๐๐๐๐๐
Haya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani โช
Updated at: 2024-05-25 17:08:53 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Usicheke,
Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.
Ujanja alioutumia msichana wa kazi ili apandishiwe mshahara na mama mwenye nyumba
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshaharaโฆ.. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.
Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.
Mama: Nani kakuambia?
Updated at: 2023-04-29 22:52:53 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshaharaโฆ.. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.
Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.
Mama: Nani kakuambia? Msichana: Baba kaniambia.
Mama: ok. Sababu ya pili? Msichana: Napasi nguo vizuri kuliko wewe
Mama: Nani kakuambia na hili?
Msichana: Baba pia kaniambia
Mama: ok, na sababu ya tatu?
Msichana: Najitahidi kitandani kuliko wewe.
(Hapa mama kaonekana kutaka kujua zaidi na akawa tayari kujiandaa kumrukia akate kichwa cha binti mara moja)
Mama: Mume wangu kakuambia na hili pia?
Msichana: Hapana ni Shamba boy kaniambia mimi najitahidi kitandani kuliko wewe.
Mama: Tafadhali punguza sauti baba yako asisikie. Nitakupandishia mshahara wako mara tatuโฆโฆ.
Updated at: 2023-04-29 22:52:23 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira 2.Dogo mnene Lazima awe golikipa 3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze
4.kama haujashiriki kufuma mpira unaweza ucpate namba 5.Ukichaguliwa mwishon ujue uwezo wako ni mdogo kuliko wote 6.Mwenye mpira akikaclika mpira umeisha 7.Inaruhusiwa kubadili golikipa kama ikitokea penat na baada ya apo ataendelea kudaka yule yule 8.Mechi itaisha pale giza linapoingia 9.wale ambao wamekosa namba kazi yao ni kufata mpira ukitoka 10.yule mtaalam wa soka {KM MIMI } huwa hakoc namba ata cku moja! Ukiikumbuka lazima utabasam!
Updated at: 2024-05-25 17:01:44 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu.. Mume: Nitafanya kama yesu.. Mke: Unamaanisha Nini?
Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3.. Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria.. Mume: Unamaanisha Nini? Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu.. Mume: ๐ณ๐ณ๐ณ
Updated at: 2024-05-25 17:05:58 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
SIFA MBAYAโฆ Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana. JAMAA;wife Mara hii umenimiss jaman WIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!! ๐๐๐๐๐