Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Huu ndio mlolongo wa michepuko kuwahi kutokea kati ya mke, mume mwanafunzi na boss
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
Updated at: 2023-04-29 22:53:20 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week (Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo. MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS): Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwakoโฆ..
BOSS anamwambia sekretari wake: Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea. SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena MUME (anampigia Mpango): dah! mpenzi, huyu mke wangu haendi tena. Shit! So hadi next time plz Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi): Darasa kama kawaida sorry for the earlier message. MWANAFUNZI: darling tution inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!! BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya Serena iko palepaleโฆโฆ
Updated at: 2024-05-25 16:57:53 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ukimchoka mkeo, waweza kumtaftia sababu za kumuacha kama hizi
_ 1. Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniuaโฆ It's Over!!! _ 2. Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi? It's over! _ 3. Nimekupigia umepokea simu hapohapo. Huna subira. Itโs over!! _
4. Nilikwambia huwa napenda chakula cha moto lakini hujanipashia ice cream. Hunijali. It's over! _ 5. Nimekupa mayai mawili, moja uchemshe jingine ukaange. We umekaanga ambalo ulitakiwa kuchemsha na umechemsha ulilotakiwa kukaanga. Huniheshimu, Itโs over! _ 6. Nimekuita DARLING na wewe ukaniita HONEY. Yani kwa maana nyingine unamuita mama yangu NYUKI. Huheshimu wazazi wangu, fungasha kilicho chako. its over.
Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti
Updated at: 2024-05-25 17:57:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya. Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena! Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako? Miaka 26: Wenzio wanaolewa. Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia! Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule anaombea unaweza kupata mchumba Miaka 36: At least pata mtoto mmoja. Miaka 39: We will take care of all the wedding billsโฆyeyote ni sawa sisi tutagharamia kila kitu mwanetu wee mlete tu . Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga.?
Updated at: 2024-05-25 17:16:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake, MKE: Unataka nini we mpumbavu?
MUME: Nani huyo unamtukana? MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda urudi badae MCHEPUKO:Nawewe pua kama poa MKE:Miguu kama masaa mawili MCHEPUKO:Masikio kama sichelewi MKE: Ondoka hapa mjinga we. โฆโฆ Akafunga mlango MUME: mwambie ana macho kama sitoki leo ng'oo SIPENDI UJINGA MM nikiwa na my love pr
Updated at: 2023-04-29 22:52:35 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Baba- : Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumban, daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi dar haiwezekani MAMA:- Mme wangu morogoro ulienda bila kuniaga! ? BABA:- Ilikuwa ni ghafla sana mke wangu sikuweza kukwambia MAMA:- kha! Sasa watoto nani atawaangalia BABA:- Unasemaje! We uko wapi kwan MAMA:- Niko bagamoyo na daraja limeondolewa na maji sitaweza kurudi. BABA:- Unasemaje we mwanamke.. nakwambia nikukute nyumban ndani ya dk 15 Baada ya dk 15 Baba kafika nyumban. MAMA:- Haya umefkaje kutoka morogoro? BABA:- Nimepewa lift na helkopta ya Mbowe..
Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii
Updated at: 2024-05-25 17:14:39 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 071112016 unafuraahi unaondoka unafika nyumbani unajaribu kuipiga but kabla hujapiga unagundua alikutajia tarehe ya leoย Wadada acheni hizoย ๐๐๐๐๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐
Updated at: 2024-05-25 17:57:23 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa
babaake, mwisho babaake akamwambia basi
ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi
hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu!
Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha
kikao cha ndugu wote pande 2,
Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu
anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital
zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga
wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa
atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye
ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu
alipoolewa ndo kijana wetu atapona!
Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii
kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote!
Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje
wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake
mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana,
mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia
wanaume peke yao! Mzee akamwambia
mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo?
Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani
umejionea hali halisi.
Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako!
Kijana akazimia!
SOMA TENA KISHA MTUMIE NA MWENZIO.