Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani

Featured Image
Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo. Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal: Jamaa: dada mi nakupenda saana Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo

Featured Image
237 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini

Featured Image

Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?

236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake

Featured Image

1. Ticha:"Punda ni mnyama anaefugwa nyumbani,lakini akiwa mwituni anaitwa pundamiliaโ€ฆ.Je sungura anayeishi mwituni anaitwaje?"

ZUZU:"Sunguramilia."

2.Ticha:"Rais wa kwanza wa kenya aliitwa KENYATTAโ€ฆJe rais wa kwanza wa
Tanzania aliitwaje?"
ZUZU:"TANZANIATTA."

3. Ticha:"Kuku yuko katika jamii ya NDEGEโ€ฆJe samaki yuko katika jamii ya nini?"

ZUZU:"MELI."

ย 

237 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kilichotokea baada ya polisi wa kibongo kukutana na mwizi mzungu

Featured Image
POLISI KAKAMATA MZUNGU 'yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six.(uliponiona ulianza ku-sitasita) u ran n decided 2 plant a car.
237 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Mpenzi Akikuita Mamito, Mjibu Hivi

No Image
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Mwizi kawezwa ki kwelii

Featured Image
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar

Featured Image

Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,

236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kama simu yako ina wifi

Featured Image
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Angalia huyu mvulana anachomwambia huyu daktari baada ya rafiki yake wa kike kupata ujauzito

Featured Image
236 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About