Je, kuharibika mimba kunasababishwa na nini?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliwa na kasoro mwilini au kiakili. Kwa hiyo mimba kuharibika inaweza kuwa ni njia ya asili ya mwili kukabiliana na matatizo hayo ya kimaumbile.
Vilevile kuharibika kwa mimba huweza kutokea kama mama ana magonjwa kama malaria au kaswende, kama ameanguka chini kwa nguvu au kama ana matatizo kwenye via vya uzazi. Dalili za mimba kuharibika ni damu kutoka ukeni na maumivu makali ya tumbo kwa chini.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupan...
Read More
Ndiyo, hata akitoa uume nje ya uke kabla ya kumwaga mbegu anaweza akaambukizwa Virusi vya UKIMWI...
Read More
Je, Ni Vipi naweza Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Sababu ya Kubembelezwa? π
Karibu vijana wa...
Read More
Kwa ujumla dawa zote za kulevya zinaweza kuwa ni za hatari. Kati ya dawa zilizohalalishwa kisheri...
Read More
Pombe huingia kwenye damu na kuzunguka mwili mzima pamoja
na kwenye ubongo wako. Ina madhara...
Read More
-
Anza kwa kujenga urafiki mzuri
Kabla ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ni muhimu kujeng...
Read More
Hakuna hata mmoja anayejua hasa kwa nini, na lini desturi
imeanza. Jamii inatoa maelezo tofa...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kujadili matarajio ya ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano? Swali hili ni mo...
Read More
Wakati mwingine, migogoro katika uhusiano wako na msichana inaweza kuonekana kama jambo lisilowez...
Read More
Kuna sababu kuu mbili i kwa wana ndoa kupata maambukizi i ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI.
Kw...
Read More
Je, ni muhimu kujadili mipaka na dhibitisho wakati wa ngono/kufanya mapenzi? Ndio, ni muhimu sana...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Mawazo yasiyofaa kuhusu Ngono? π€β
-
Jua vipaumbele v...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!