Afya ya uzazi ni nini?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kila siku, tunaishi katika jamii ambayo ina maadili na kanuni za kufuata katika uhusiano wa ngono...
Read More
Je, ni muhimu kwa washiriki wote kufikia kilele wakati wa ngono/kufanya mapenzi?
Wakati wa...
Read More
Serikali zote na mashirika ya kimataifa wameweka mdhamana
na kukubali kulinda haki za binada...
Read More
Mimba i inatungwa wakati yai la kike linaporutubishwa na mbegu za kiume. Kama tulivyoona hapo juu...
Read More
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya iwapo utakaa muda mrefu bila ya kujamiiana. Viungo ...
Read More
Hii siyo kweli,
tofauti
baina ya Albino
na mtu a s i
ekuwa na ualbino
i ...
Read More
Msichana anaweza kupata mimba kabla ya kuvunja ungo, yaani kabla ya kuona hedhi kwa mara ya kwanz...
Read More
Je, kuna mambo mazuri na mabaya kuhusu ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna mambo mengi sana ambayo ...
Read More
Kuna madhara mengi ambayo hutokana na uvutaji sigara.
Madhara mengi yanampata mvutaji kwani ...
Read More
Wakati wa kutumia kondomu ya kiume ni muhimu kufuata hatua zifuatazo. Hakikisha kwamba pakiti ina...
Read More
Hakuna hata mmoja anayejua hasa kwa nini, na lini desturi
imeanza. Jamii inatoa maelezo tofa...
Read More
Kuwa na uhusiano mzuri na msichana ni jambo ambalo kila mwanaume anataka. Hata hivyo, wakati mwin...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!