Namna ya kulisha kuku ili wasipatwe na magonjwa
Date: December 26, 2020
Author: SW - Melkisedeck Shine
Safisha vyombo vya kulishia na kunyweshea kila siku. Osha, sugua vizuri, kisha suuza kuondoa utando unaobeba bakteria.
Kuku wanahitaji wapewe chakula cha kutosha na chenye virutubisho vyote. Unaweza kuwaongezea majani, makombo, nafaka, mchanga laini, au maganda ya mayai.
Wapatie kuku maji safi muda wote. Wafugaji wengi wameripoti kuwa na matokeo mazuri baada ya kuchanganya dawa ya kuua vimelea kwenye maji ya kunywa.
Nunua chakula kwa wauzaji wazuri na wanaoaminika ili kuepuka minyoo na sumu hatarishi. Usiwape kuku chakula chochote kinachoonekana kuoza au kunuka uvundo.
Hifadhi chakula cha kuku katika sehemu kavu isiyo na joto na isiwe kwa zaidi ya miezi mitatu ili kuepuka kuharibiwa na fangasi.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.
<...
Read More
"Cannibalism,"
Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni m...
Read More
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye...
Read More
Vitunguu ni zao la mbogamboga na hulimwa kwa ajili ya balbu zake ambazo hutumika kama kiungo cha ...
Read More
Vitunguu twaumu viungo vinavyopendwa na watu wengi hasa kwa harufu yake nzuri Kwenye chakula na u...
Read More
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;
Kudhibiti wadudu (...
Read More
Ukitaka kujua kuwa eneo unalotaka kuweka mizinga ya nyuki ni sahihi unatakiwa kuzingatia ...
Read More
Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutenge...
Read More
Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga na kukom...
Read More
Pilipili hoho ni zao la jamii ya pilipili isiyo kali, tunda lake ni nene ki...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!