Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Maswali na majibu kuhusu Katekesi

Featured Image
Katekista ni nani? Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista? Waraka unasema; 1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu 2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala
52 💬 ⬇️

Amri ya Sita ya Mungu: Kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu

Featured Image
Katika Amri ya Sita na Tisa Mungu ametuamuru nini? Mungu ametuamuru kutunza usafi wa moyo na kuwa waaminifu katika ndoa. Usafi wa Moyo ndio nini? Usafi wa Moyo ni fadhila ya kiutu, zawadi ya Mungu, neema na tunda la Roho Mtakatifu.
51 💬 ⬇️

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu imani na matendo?

Featured Image
Kanisa Katoliki linahimiza imani na matendo kama kiungo kikuu cha maisha ya Kikristo! Kwani unapotenda mema, huonyesha imani yako kwa vitendo na hivyo kumtukuza Mungu. Karibu tujifunze zaidi!
50 💬 ⬇️

Maswali na Majibu kuhusu Mapokeo ndani ya Kanisa Katoliki

Featured Image
Tunatambua Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu kwa njia ya Mapokeo, yaani kwa sababu yametumiwa na Kanisa tangu mwanzo kwa kulisha kwa hakika imani yake.
50 💬 ⬇️

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu dini na dini nyingine?

Featured Image
Je, umewahi kujiuliza Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu dini na dini nyingine? Usijali, leo tutakupa majibu kamili ya swali hili la kuvutia!
50 💬 ⬇️

Mafundisho ya Msingi kuhusu Roho Mtakatifu

Featured Image
Roho Mtakatifu ni upendo wa Mungu, nafsi ya tatu ya Utatu Mtakatifu, mwenye Umungu mmoja na Baba na Mwana.
100 💬 ⬇️

Amri ya Tatu ya Mungu: Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu

Featured Image
Katika amri ya tatu ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa kuheshimu siku ya Mungu:- 1. Kushiriki Misa Takatifu siku ya Jumapili na Sikukuu zote za Amri 2. Kuacha kazi nzito na 3. Kutenda matendo mema
50 💬 ⬇️

Amri Kumi za Mungu: Mambo ya Msingi unayopaswa kufahamu

Featured Image
Haya ni Mafundisho Muhimu kuhusu Amri kumi za Mungu unayopaswa kufahamu.
51 💬 ⬇️

Kuhusu Ubatizo, Haya ndiyo mambo ya Msingi unayotakiwa kufahamu

Featured Image
Kwa nini ubatizo unafanyika kwa maji? Ubatizo unafanyika kwa maji kwa kuwa ndiyo ishara ya usafi na ya uhai unaotupatia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
50 💬 ⬇️

Maswali na Majibu kuhusu Karama

Featured Image
Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi? Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni umoja wa Kanisa unaotokana na ustawi wa upendo na vipaji ndani ya waamini.
50 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About