Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Kuishi katika Huruma ya Mungu: Njia ya Utakatifu na Ukarimu

Featured Image
Kuishi katika huruma ya Mungu ni njia ya utakatifu na ukarimu. Ni kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kutekeleza wito wake wa kuwatumikia wengine. Hii ni njia yenye furaha na baraka tele.
50 💬 ⬇️

Mbinu 4 anazotumia Shetani kuteka na kurubuni Watu

Featured Image

1. Kutushawishi tuache kusali maaana njia kuu ya mawasiliano kati yetu na MUNGU.Hivyo akifanikiwa hapo kwisha habari yako

2. Kufanya umwogope shetani na nguvu zake kuliko unavyompenda MUNGU. Wakristo wengi leo hii husali na kuomba kwa nguvu mno siyo sababu wanampenda MUNGU mno hapana ni sababu wanamwogopa shetani na majeshi yake

50 💬 ⬇️

Kwa nini tarehe ya Pasaka hubadilika

Featured Image

KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi wa
angani kama kipimo cha muda. Ziliitwa
“Lunar calender” au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1
ya Mwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaani
Mwezi-Mdogo (Crescent Moon).
Mwezi unapofika siku ya 15 unakuwa
umefikia ukubwa wa juu na huitwa Mwezi-
Mkubwa (Full Moon). Hivyo kwa kalenda ile
tarehe 15 ilikuwa ni siku ya Mwezi-Mkubwa.
Mwaka 45KK, Julius Caesar alitangaza
kalenda mpya ikaitwa “Julian Calender” iwe
na siku 365. Wakati huo ikijulikana kwamba
jua huzunguka kwa siku 365.25. Hivyo pengo
la kalenda na mzunguko likabaki robo siku.

50 💬 ⬇️

Siri ya kamba nyekundu

Featured Image

Miaka zaidi ya 3000 iliyopita katika mji wa Yeriko alikuwepo mwanamke mmoja kahaba, jina lake Rahabu. Huyu mwanamke aliwaokoa wapelelezi wa Israel waliotumwa kwenda kufanya uchunguzi ktk nchi yao.

Wakati wana wa Israel wanatoka Misri kuelekea nchi ya Kaanani, Mungu aliwaahidi kuwapa mji wa Yeriko. Kwahiyo walipofika ng'ambo ya mto Yordani, Yoshua akatuma wapelezi wawili kwenda kuipeleleza Yeriko kabla wana wa Israel kuivamia na kuitwaa. 

50 💬 ⬇️

MAFUNDISHO MUHIMU KUHUSU MWILI NA DAMU YA YESU KRISTU | BIBLIA INAVYOELEZA KUHUSU EKARISTI

Featured Image
50 💬 ⬇️

Ufafanuzi wa Sala ya Baba yetu

Featured Image
50 💬 ⬇️

Je, Kanisa Katoliki linamwamini Yesu Kristo kama Mungu na mwanadamu kamili?

Featured Image
"Je, Kanisa Katoliki linamwamini Yesu Kristo kama Mungu na mwanadamu kamili?" - Hata huwezi kufikiria jinsi gani tuna furaha kujibu swali hili! Katoliki inamwamini Yesu kama Mungu na Mwanadamu kamili, na tunafurahia kushiriki imani hii na ulimwengu mzima.
50 💬 ⬇️

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu Roho Mtakatifu?

Featured Image
Mambo vipi rafiki yangu! Leo tutaangazia imani ya Kanisa Katoliki kuhusu Roho Mtakatifu. Hii ni sehemu muhimu sana ya imani yetu kama Wakatoliki na inatupa nguvu ya kiroho kila siku! Twende sasa tujifunze zaidi.
50 💬 ⬇️

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu tofauti za kijamii na uadilifu wa kijamii?

Featured Image
Nyakati hizi za kisasa, Kanisa Katoliki bado linasimama imara katika kuunga mkono tofauti za kijamii na uadilifu wa kijamii. Kwani tunaamini kuwa kila mtu ni sawa mbele za Mungu na inatupasa kuishi kwa upendo na amani kwa wote. Sote ni ndugu na dada, na tunapaswa kuhakikisha kuwa tunatendeana kwa haki na usawa. Hivyo basi, tuendeleze imani yetu na daima tujitahidi kujenga jumuiya yenye upendo na uhuru kwa wote.
50 💬 ⬇️

Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari

Featured Image
50 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About