Log in to access your menu with tools for managing 📝 tasks, 👥 clients, 💰 finances, 📖 learning, 🔍 personal growth, and 🌟 spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 15:36:19 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"
Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye
Updated at: 2024-05-25 15:26:31 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.
Meseji ya kimahaba ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda
Updated at: 2024-05-25 15:35:58 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?
Ujumbe wa kimapenzi wa kumweleza mpenzi wako kuwa anaweza asijue jinsi gan unavyompenda lakini ni kweli unampenda sana
Updated at: 2024-05-25 15:25:34 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali. Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unaweza usihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangu tu uliyoyaficha hayo.