Log in to access your menu with tools for managing 📝 tasks, 👥 clients, 💰 finances, 📖 learning, 🔍 personal growth, and 🌟 spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
SMS ya kumuahidi mpenzi wako kuwa utaendelea kumpenda
Updated at: 2024-05-25 15:23:15 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"
SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako sababu ya kumpenda
Updated at: 2024-05-25 15:24:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.
SMS ya kumtumia mmeo au mpenzi wako unapokuwa kwenye siku zako
Updated at: 2024-05-25 15:24:40 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kaja kunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwa sasa siwezi kukupatia kwa maana mgeni kashakuharibia nakupenda dear