Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Kilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala
Updated at: 2024-05-25 17:01:56 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jana nilipanda daladala nikapata seat nikaketi, nikawa nimejiachia ninachati kwenye simu yangu(Smart phone), kukawa na jamaa kasimama pembeni yangu, ye hakupata seat. Sasa akawa anasoma message zangu bila aibu yani anafutilia ninavyochatiโฆ
Basi nikasema ngoja nimtie Adabu mshenzi huyuโฆ. Nikacheck saa yangu yamkononi kisha nikatext:ย "Oya Ben Kwaheri bwana, zimebaki sekunde 30 tu hili bomu๐ฃ lilipukeโฆ najua hatutaonana tena, nitunzie Familia yangu, wambie nawapenda sanaโฆ"ย Yule jamaa akajirusha dirishaniโฆโฆ๐๐
โkwani mi napenda ujinga xx ๐๐๐๐๐๐๐
Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!! Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:- ''YEAH NI TEMBA hapa au
Updated at: 2024-05-25 18:07:14 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!! Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:- ''YEAH NI TEMBA hapa au YEAH NI CHEGE hapaโฆ!!!
Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPAโฆ!!!" Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee
JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONEโฅ
Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala asubh wanakunywaย
Updated at: 2023-04-29 22:52:59 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
Ungekua wewe ndio baba wa Huyu mtoto ungemjibu nini?
Updated at: 2024-05-25 16:55:20 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MTOTO: Hivi Baba wewe umezaliwa wapi????? BABA: Mbeya
MTOTO: Mama nae kazaliwa wapi???? BABA: Tanga MTOTO: Mimi jee????? BABA: Dar MTOTO: Sasa tulikutanaje???? ๐๐ hapo wee kama baba ungemjibuje mwanao๐ณ๐ณ๐ณ