Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana; MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi? MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?
Updated at: 2024-05-25 18:08:53 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana; MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi? MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu?
MKAKA: Samahani sanaโฆ.jamaa akachukua Galaxy yake akapiga simuโฆ.aise saa ngapi saa hizi? mi ndio nimeingia toka USA nataka kurekibisha saa yangu ifwate muda wa huku. Na wewe uwahi kuchukua iPad nimekuja nazo tatu tu za zawadi. Halafu ntafutie mtoto mzuri nimumwagie midola niliyokuja nayo, ok ciao tuonane badae. MDADA: Kaka samahani saa hizi ni saaโฆ.. MKAKA: Achana na mimi wewe
Updated at: 2024-05-25 17:52:24 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".๐ด๐๐๐ MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.๐ต๐ท MUME: Akamuuliza kwa hamaki,"Sasa hapo unatafuta nini?".๐ด๐ก MKE: "Sidiria yetu!!"๐๐ MUME: (kamfungia kabatini alafu kamwambia. "nipo chumbani , ")๐ด๐ท๐ท ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
jamaa akagoma kwenda kazini ๐ฌ๐ฌ mke akabadili kanga na kuvaa iloandikwaย nimemdhibiti ndo mana hatoki๐ท jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akaambiwa twende nyumbsni kwako, walipofika walimkuta mke kavaa kanga imeandikwaย ulidhani rafiki yako kumbe adui yako๐ค๐ค jamaa akaamua kusafiri siku tano ili kupunguza hasira. Aliporudi akamkuta mke amevaa kanga imeandikwaย ni bora nimpe jirani kuliko kiozee ndani ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
hata kama hupendagi ujinga kwa maneno ya kwenye kanga utasanda tu
Updated at: 2024-05-25 17:58:13 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Asubuhi ya leo huko nchini Colombia baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bangi kuwa halali +++ Wavutaji bangi wamepanda basi la gorofa wengine juu wengine chiniโฆ.
Waliopanda chini wanawauliza wa juu huko speed ni ngapi maana huku ni 80.
Wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui dereva bado hajajaโฆ. ๐๐๐