Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Updated at: 2024-05-25 17:09:25 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili ๐๐๐hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja
Updated at: 2024-05-25 17:02:59 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
JE WAJUA?
Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui. Umri wa kuishi kobe hufikia hadi miaka 300. FUNZO: Mazoezi ni kiinimacho na uongo mtupu. Jipumzikie mwaya!!! ๐๐พ๐๐ฟโ
Updated at: 2024-05-25 17:15:01 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa kaingia mgahawani kwa fujo JAMAA :ย Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anywe WATU :ย Ha! Ha! Ha! Haaaa! JAMAA :ย Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wake WATU:ย Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu.. JAMAA :ย Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake maana ninapolipa bili napenda kuona kila mtu analipa yake ๐๐๐๐๐๐๐
Updated at: 2024-05-25 17:51:30 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Lakini sisi wanaume hatuko fair โฆ Yani demu anang'ng'ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. ๐๐๐mungu anatuona jaman๐๐๐๐๐๐Makeup ya matako iletwe
Updated at: 2024-05-25 17:16:54 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Boy:- hallow Dem:- hellow Boy:- ivi jina lako nani vile Dem:- am miss precious A. K. A dope girl Boy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer care Dem:-no no baby usipige Ah ah Hapana baby mi naitwaย Andongolile Mwakasakafyukaย ๐๐๐๐๐
Updated at: 2024-05-25 17:03:30 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu basi nami..
Nikampelekea msg nikamuandikia umependeza saana bosi mashaallahโฆ!! sasa baada tu ya kumfika msg.. na huku picha ikafunguka kumbe picha ya Sokwe..!! Basi Kaniambia kesho niende ofsini kwake kuna barua yangu.. Nahisi hyo barua ina pesa, hapa cjalala, nmekosa usingizi kabisa,nawaza ninunulie nn hyo pesa.Na kesho asubuhi sa 12 asubuhi atanikuta ofisini kwake naisubiri barua, sipendagi ujinga mimi.
Kilichotokea baada ya babu mzee kuibiwa nauli kwenye daladala
Updated at: 2024-05-25 16:54:48 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mzee mmoja alipanda Gari Stend; Wakati wa kugombania Siti, Akaibiwa Nauli.
Akasimama katikati ya Gari-Akasema; "Jamani Naomba Aliyeniibia Pesa yangu Arudishe Haraka, Tena Fasta kabla Sijafanya Tukio kama Nililofanya 1977" Abiria kuskia hivyo wakaogopa. Ikabidi Mwizi Ajitokeze, Akarudisha Pesa na Kuomba Msamaha! Mtu Mmoja akauliza, Mzee, Kwani 1977 Ulifanya nn? Si nilienda kwa Miguu mpaka Nyumbani! Uscheke Peke Yako, wa2mie na wengine ili nao wacheke!