Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Tafakari Kuhusu Matumizi Ya Mali

Featured Image
Usiwe Bahili wa kutumia Mali ulizojaliwa na Mungu. Mungu amekupa Mali hizo ili ufurahie maisha uliyonayo ambayo siku moja yana mwisho.
100 💬 ⬇️

Maana ya kuushinda ulimwengu

Featured Image
Ni kuacha kufuata akili yako na mwili wako huku ukiufuata moyo wako wakati ukijua moyoni mwako Roho Wa Mungu yupo na anafanya kazi.
100 💬 ⬇️

Mambo ya Msingi Sana Kuhusu Kusali na Kuomba

Featured Image
Rafiki yangu, Omba utafute uso wa Mungu, Aonaye kwa Siri atakujibu kwa wazi. Mungu ni Mwaminifu Sana hasa kwa wamwombao bila kukoma na kwa matumaini. Mungu yeye anasikia Sala zetu zote na kuzijibu zote.
100 💬 ⬇️

Tafakari ya leo kuhusu Uaminifu

Featured Image
Uaminifu ni kipimo na kigezo cha Ukamilifu na Utakatifu. Uaminifu ni ishara ya Upendo na tunda la uvumilivu. Uaminifu ni alama ya ushirika na Umoja.
100 💬 ⬇️

Mwenendo Unaongozwa na Roho Mtakatifu

Featured Image
Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya Roho; na matakwa ya Roho hupingana na Tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamuwezi kufanya yale mnayotaka nyinyi wenyewe.
100 💬 ⬇️

Kwa nini Mungu hatendi mpaka umwambie au umuombe? Kwa nini tusali?

Featured Image
Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe. Kama kila kitu mtu anachotaka kingekua kinafanyika, Binadamu asingemkumbuka Mungu na Mungu asingetukuzwa
100 💬 ⬇️

Siri ya Yesu: Mwangaza Wa Maisha

Featured Image
Soma Siri ya Yesu aliye Mwangaza Wa Maisha, Jifunze namna unavyoweza kufaidi Mwangaza huu kushinda Uovu katika maisha Yako.
100 💬 ⬇️

Yesu Yupo Karibu na Wewe Unapoanguka Dhambini: Huruma ya Yesu Kristo kwa Mwenye dhambi

Featured Image
Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio wakati ambao Yesu anakua karibu na mtu sana hata kuzidi wakati mwingine wowote. Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio Yesu anakua karibu zaidi, lakini tatizo ni kwamba huo ni wakati ambao mtu hawezi kutambua uwepo wa Yesu. Neno moja tuu la Matumaini na Upendo wakati huo linaweza kumfungua mtu na kumbadilisha.
100 💬 ⬇️

Mungu ni Mwenye Haki, Mpenda Haki, na Mtenda Haki

Featured Image
Mungu ni mwenye haki, mpenda haki na mtenda haki. Unapoenenda kwa haki na yeye ataipigania haki yako.
100 💬 ⬇️

Thamani ya Neno "Nimekusamehe"

Featured Image
100 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About