Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Kampeni ya Elimu ya Afya kwa Vijana

No Image
Kampeni ya "Elimu ya Afya kwa Vijana" ni sehemu ya juhudi za Ackyshine Charity katika kuelimisha na kusaidia vijana katika masuala yanayohusu afya yao.
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya "Twende Hospitali Mapema": Kuokoa Maisha Kupitia Matibabu ya Haraka

Featured Image
Katika kampeni hii, tunajikita katika kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kutambua na kutibu magonjwa mapema ili kuzuia matatizo makubwa zaidi.
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Kutetea Watoto Yatima

Featured Image
Kampeni hii inaamini kuwa watoto yatima ni kama mali yenye thamani inayohitaji kuwekeza sasa kwa manufaa ya baadae. Hata kama hawana wazazi, wanaweza kuwa watu wa maana na wenye mafanikio makubwa ikiwa watapata malezi sahihi na ya upendo.
1 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Kudumisha Umoja Wa Imani

Featured Image
Lengo la kampeni hii ni kudumisha amani na umoja bila kuangalia tofauti za imani zetu za kidini. Tunatambua kuwa, licha ya tofauti zetu za kiimani, sisi sote ni binadamu na tunastahili kuishi kwa amani na upendo.
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Kutetea Watu Wenye Ulemavu

Featured Image
Kampeni hii inaamini kuwa watu wenye ulemavu wanayo haki na nafasi sawa kama watu wengine katika jamii, na wanastahili kuishi kwa amani na furaha kama binadamu wengine. Kwa hiyo, kampeni hii inahimiza kila mtu kwa nafasi yake kuchangia katika kuboresha maisha ya watu wenye ulemavu.
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About