Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Kampeni ya Mazoezi kwa Afya

Featured Image
Kampeni ya "Mazoezi kwa Afya" inalenga kuhamasisha watu kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara. Tunatambua kuwa mazoezi ya mwili ni msingi wa afya bora na ustawi wa mwili na akili.
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Kudumisha Amani na Upendo

Featured Image
Lengo kuu la kampeni hii ni kudumisha amani na upendo bila kuangalia tofauti zetu. Kampeni hii inaamini kuwa katika upendo kuna amani, na inafundisha kuwa upendo wa kweli ni kuwafanyia wengine vile ungependa kufanyiwa na wao. Kila mtu anapaswa kumfanyia mwenzake vile anavyopenda kufanyiwa.
1 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Kutetea Watoto

Featured Image
Kampeni ya Kutetea Watoto ilianzishwa kwa lengo la kuhamasisha watu wote kuhakikisha watoto wanakua katika mazingira bora ya kimwili, kiroho na kijamii.
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Utunzaji wa Miti na Misitu

Featured Image
Lengo kuu la kampeni hii ni kuhamasisha watu kupanda na kutunza miti na misitu kwa manufaa yao ya sasa na kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
4 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Kutetea Wajane

Featured Image
Inalenga kuhamasisha watu wote kusaidia na kutetea wajane katika mahitaji yao ya kimwili, kiroho, na kijamii hasa wale wasioweza kusimama wenyewe baada ya kuondokewa na wenzi wao.
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Kusaidia na Kutetea Wazee

Featured Image
Inalenga kuhamasisha watu wote kusaidia na kutetea wazee katika mahitaji yao ya kimwili, kiroho, na kijamii hasa wale wasioweza kujitegemea baada ya kuzeeka
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Mazingira Rafiki kwa Watoto, Maisha Yao

Featured Image
Kampeni ya "Mazingira Rafiki kwa Watoto, Maisha Yao" ni sehemu ya jitihada za Ackyshine Charity katika kukuza amani, umoja, kulinda mazingira, na kudumisha afya na maendeleo ya mtu binafsi na jamii kwa ujumla.
4 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Elimu ya Afya kwa Vijana

No Image
Kampeni ya "Elimu ya Afya kwa Vijana" ni sehemu ya juhudi za Ackyshine Charity katika kuelimisha na kusaidia vijana katika masuala yanayohusu afya yao.
0 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Usafi na Utunzaji wa Mazingira

Featured Image
Lengo kuu la kampeni hii ni kuhamasisha watu kusafisha na kutunza mazingira yao kwa manufaa yao ya sasa na kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
4 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ

Kampeni ya Utunzaji wa Vyanzo vya Maji

Featured Image
Lengo kuu la kampeni hii ni kuhamasisha watu kutunza vyanzo vya maji kwa manufaa yao ya sasa na kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
4 ๐Ÿ’ฌ โฌ‡๏ธ
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About